Ni ipi hukumu ya kuoga siku ya ijumaa na lini unaanza wakati wake?

Swali: Ni ipi hukumu ya kuoga siku ya ijumaa na lini unaanza wakati wake?

Jibu: Kuoga siku ya ijumaa ni Sunnah iliyokokotezwa. Wakati wake unaanza inapoanza siku ya ijumaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 28/10/2016