Ni ipi hukumu ya kununua TV?


Swali: Ni ipi hukumu ya kununua TV?

Jibu: Ukinunua TV una uwezo wa kuidhibiti kwa njia ya kwamba hutotazama ndani yake isipokuwa yale yaliyoruhusiwa? Mambo yakiwa ni hivo hakuna neno. Lakini ikiwa huwezi kuidhibiti kuna kitu kinachoitwa kompyuta. Inunue na unaweza kuweka CD unazotaka na kukapatikana yale unayotaka.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (77) http://binothaimeen.net/content/1774
  • Imechapishwa: 18/09/2020