Ni ipi hukumu ya kumjamii mwanamke anayetokwa na damu ya ugonjwa?


Swali: Ni jambo linalojulikana ya kwamba haifai kwa mume kumwingilia mwanamke mwenye hedhi. Ni ipi hukumu ya kumwingilia mwanamke anayetokwa na damu ya ugonjwa ambaye anajisafisha wakati wa kila kwa ajili ya kuswali?

Jibu: Inajuzu pamoja na kwamba imechukizwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (11) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/14466
  • Imechapishwa: 10/10/2017