Ni ipi hukumu ya kukojoa kwa kusimama?

Swali: Ni ipi hukumu ya kukojoa hali ya kusimama?

Jibu: Kukojoa hali ya kusimama kunajuzu kwa sharti mbili:

1- Kuaminike cheche za mkojo zisimrukie.

2- Kuaminike asiwepo yeyote atakayeona sehemu zake zisizotakiwa kuonekana.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/109)
  • Imechapishwa: 13/06/2017