Ni ipi hukumu ya kujifunza elimu ya mantiki na falsafa?

Swali: Ni ipi hukumu ya kujifunza elimu ya mantiki na falsafa kwa wanafunzi wenye kuanza au wa sekondari?

Jibu: Haijuzu kujifunza elimu ya mantiki na falsafa. Itampelekea mtu katika yale iliyowapelekea waliokuwa kabla yake. Inatutosheleza elimu ya Qur-aan na Sunnah na kuwa na uelewa katika dini ya Allaah. Haya yanatutosheleza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (14) http://alfawzan.af.org.sa/node/2057
  • Imechapishwa: 22/04/2017