Ni ipi hukumu ya kuingia chooni kichwa wazi?

Swali: Ni ipi hukumu ya kuingia bafuni kichwa wazi?

Jibu: Kuingia bafuni kichwa wazi hakuna neno. Lakini wanachuoni wamependekeza mtu kufunika kichwa chake anapoingia chooni.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/110)
  • Imechapishwa: 14/06/2017