Swali: Ni ipi hukumu ya kuandika kitu katika Qur-aan tukufu na kunywa? Mimi nimeona watu wanafanya hivo.

Jibu: Hakuna kitu katika hayo kilichothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), wala kutoka kwa makhaliyfah wake waongofu wala Maswahabah zake wengine (Radhiya Allaahu ´anhum). Kuacha kufanya hivo ndio bora zaidi na Allaah ndiye anajua zaidi.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (161/14)
  • Imechapishwa: 24/08/2020