Swali: Ni ipi hukumu kwa mfungaji kung´oa jino lake na kunamfunguza?

Jibu: Damu inayotoka kwa kung´oa jino na mfano wake haifunguzi. Haiathiri athari kama ya kufanyiwa chuku. Hivyo hakumfunguzi.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Arkaan-il-Islaam, uk. 477
  • Imechapishwa: 29/04/2020