Ni haramu kugusa msahafu midhali hachelei kuisahau

Swali 138: Ni ipi hukumu ya kugusa msahafu kwa mwanamke katika hali ya damu ya uzazi?

Jibu: Ni haramu kwa mwanamke mwenye damu ya uzazi kugusa msahafu na kusoma Qur-aan midhali hajachelea kuisahau kama mwanamke mwenye hedhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 59
  • Imechapishwa: 31/08/2019