Swali: Hadiyth isemayo:

“Ummah huu utafarikiana katika mapote sabini na tatu. Yote yataingia Motoni isipokuwa moja.”

ni Swahiyh?

Jibu: Ndio, ni Swahiyh kwa njia zake zote. Kwa sababu imepokelewa kwa njia nyingi ambazo zimetajwa na wanachuoni. Kwa njia zake zote ni Hadiyth Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
  • Imechapishwa: 24/06/2020