Nguruwe ikigusa nguo unaiosha mara saba?

Swali: Ni lazima kuosha najisi ya nguruwe mara saba kama najisi ya mbwa?

Jibu: Ndio, hili halina shaka. Nguruwe ni najisi zaidi kuliko mbwa. Ikiwa najisi ya mbwa inaoshwa mara saba ambapo moja wapo inakuwa kwa mchanga, basi nguruwe ina haki zaidi ya kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020