Swali: Mtu anaweza kufunga ndoa kwa njia ya simu?

Jibu: Ndoa ni lazima kuwepo uhudhuriaji na ushahidi. Kuna ukhatari ikawa ni kinyago kinachochezwa kwenye simu. Huenda wanaiga sauti na kudanganya. Ni lazima kuhudhuria. Bwana harusi, bibi harusi, walii wake na mashahidi wawili waadilifu ni lazima wahudhurie. Aidha inatakiwa kuwepo cheti kinachochukuliwa baada ya hapo. Hili ni zuri na ni uthibitisho wa ndoa kinachoilinda na michezo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (15) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_27-07-1433.mp3
  • Imechapishwa: 24/05/2018