Swali 839: Je, inajuzu mmilikiwa akaolewa na muungwana?

Jibu: Haijuzu kumuozesha mwanamke huyo. Kwa sababu yeye mwanaume ni muungwana na mwanamke ni mmilikiwa. Isipokuwa tu kwa masharti mawili:

Ya kwanza: Akichelea juu ya nafsi yake.

Ya pili: Asimpate mwanamke muungwana. Zikitimia sharti mbili hizi ndio itafaa kumuozesha mmilikiwa aliyetajwa. Kukikosekana moja katika sharti mbili hizi basi kumuozesha mwanamke huyo ni batili na si halali kamwe.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 333
  • Imechapishwa: 18/07/2019