Nchi ya Kiislamu kwa mujibu wa ´Abdul-Latwiyf Aalush-Shaykh

Ni kweli kwamba Hanaabilah na wengine wametaja kwamba nchi ikidhihiri zaidi hukumu za kikafiri na wala hakuonekani hukumu za Kiislamu basi hiyo ni nchi ya kikafiri. Ikiwa nchi imedhihiri zaidi yote mawili basi Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah anaona kuwa pande zote mbili zinatakiwa kuzingatiwa na hivyo isichukuliwe kuwa ni ya Kiislamu kikamilifu wala ya kikafiri kikamilifu. Hivo ndivo Ibn Muflih na wengineo walivyomnukuu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-Latwiyf bin ´Abdir-Rahmaan Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Miswbaah-udh-Dhalaam, uk. 23
  • Imechapishwa: 01/07/2019