Nasaha kwa wanafunzi wa kike 40.000


Swali: Tunaomba uwape nasaha maalum wanafunzi wa kike 40.000 ambao wanakusikiliza hivi sasa.

Jibu: Tunawaombea kwa Allaah wema, mafanikio na washikamane na dini yao, haya, kujichunga na machafu na sitara. Ni lazima kwao kujisitiri na kuvaa Hijaab. Ni lazima kwao kuzichunga swalah na dini. Ni lazima kwao kuchunga suala la kujifunza elimu yenye manufaa. Hili ndilo tunalowanasihi dada zetu wanafunzi.

  • Mhusika: Imâm Sâlih bin Fawzân al-Fawzân
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=162071 Tarehe: 1438-03-07/2016-12-07
  • Imechapishwa: 14/02/2021