Swali: Kumfanyia Jihaad mtu ambaye ana kufuru kubwa inazingatiwa kuwa ni bora kuliko kumfanyia Jihaad ambaye ana kufuru ndogo?
Jibu: Ndio. Jihaad inatofautiana na hili halina shaka. Mtu ambaye ana kufuru ndogo, huyu anafanyiwa Jihaad kwa kiasi chake na ambaye ana kufuru kubwa anaanza kufanyiwa Jihaad yeye kwanza.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (38) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-01-06.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014