Swali: Ni vipi tunaweza kupambana na ueneaji wa Raafidhwah kwa njia ya amani?

Jibu: Bainisha Sunnah na I´tiqaad ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), Maswahabah zake na Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Kwa njia hii madhehebu mengine yote yanayoenda kinyume yatabainika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 14/07/2018