Swali: Ni vipi mtu atakataza maovu kwa moyo?

Jibu: Ni yeye achukie maovu yale na wala asiketi pamoja na wenye nayo. Kwa sababu kuketi pamoja nao bila ya kuwakemea kunafanana na kitendo cha wana wa israaiyl ambao Allaah amewalaani pale Allaah (Subhaanah) aliposema:

لُعِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن بَنِي إِسْرَائِيلَ عَلَىٰ لِسَانِ دَاوُودَ وَعِيسَى ابْنِ مَرْيَمَ ۚ ذَٰلِكَ بِمَا عَصَوا وَّكَانُوا يَعْتَدُونَ كَانُوا لَا يَتَنَاهَوْنَ عَن مُّنكَرٍ فَعَلُوهُ ۚ لَبِئْسَ مَا كَانُوا يَفْعَلُونَ

“Wamelaaniwa wale waliokufuru miongoni mwa wana wa israaiyl kupitia ulimi ya Daawuud na ‘Iysaa mwana wa Maryam – hivyo ni kwa sababu ya kuasi kwao na walikuwa wakivuka mipaka. Walikuwa hawakatazani maovu waliyofanya.” (05:78-79)

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (05/74) https://binbaz.org.sa/fatwas/964/%D9%83%D9%8A%D9%81%D9%8A%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D9%86%D9%87%D9%8A-%D8%B9%D9%86-%D8%A7%D9%84%D9%85%D9%86%D9%83%D8%B1-%D8%A8%D8%A7%D9%84%D9%82%D9%84%D8%A8
  • Imechapishwa: 03/01/2020