Swali: Ni vipi mtu anakemea maovu kwa moyo?

Jibu: Kukataza maovu kwa moyo anatakiwa kuchukia maovu kwa moyo. Achukie maovu na awachukia wanaofanya maovu hayo. Baada ya hapo ajiweke mbali na maeneo yao na vikao vyao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ma´aalim Manhaj Ahl-is-Sunnah wal-Jamaa´ah, uk. 48
  • Imechapishwa: 05/06/2021