Namna ya kuhesabu nusu ya usiku Kishari´ah

Swali: Nusu ya usiku unahesabiwa kuanzia baada ya ´ishaa?

Jibu: Usiku unahesabiwa kuanzia baada ya kuzama kwa jua mpaka kuchomoza kwa alfajiri. Nyakati hizo mbili unagawanya nusu mbili, jambo ambalo linatofautiana kutegemea na masiku na majira.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (17)
  • Imechapishwa: 27/09/2020