Swali: Ni lazima kwa mmliki wa mifugo kuandika miaka ya mnyama mpya anayezaliwa ili iweze kutambulika ina miaka ngapi juu ya Udhhiyah?

Jibu: Miaka yake inajulikana kwa meno yake. Wanatazama meno yake na wanajua mnyama ana miaka mingapi. Hawazingatii ile tarehe alozaliwa. Wanatazama meno yake na kwa njia hiyo wanatambua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
  • Imechapishwa: 18/05/2018