Namna ya kueneza Da´wah ya Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab


Swali: Ni upi uwajibu khaswa kwa wanafunzi na watu wote kwa jumla juu ya ni namna gani watavyofaidika na Da´wah hii?

Jibu: Kwa kufundisha, kubainisha, kutoa Khutbah za ijumaa, darsa n.k. Njia ziko nyingi. Watu watoe darsa katika misikiti, Khutbah katika vituo, darsa katika masomo na vyuo vikuu. Yote haya iwe silebasi zake zinazungumzia Tawhiyd, Fiqh na lugha ya kiarabu. Magazeti kwetu yako wazi na ni mengi. Lakini kinachotakikana ni watu wawe siriazi, wawe na Ikhlaasw na wabebe majukumu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17206
  • Imechapishwa: 30/12/2017