Swali: Nikipata meseji iliyoanzwa na salamu السلام عليكم, ni lazima na mimi niijibu kwa kuandika au inatosha kuitamka?

Jibu: Ukiisoma, rudisha salamu kwa kutamka. Na ikiwa na wewe utamuandikia, mrudishie kwa kuandika. Inategemea na jawabu, ni la kuandika au la kutamkwa?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (34) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid-17-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017