Namna hii ndivo wanaungwa ndugu na jamaa

Swali: Kipi kinachozingatiwa katika kuwaunga jamaa?

Jibu: Kwa kile kitachokuwa wepesi. Hakuna kitu maalum kilichowekewa kikomo. Ijapo kwa maneno mazuri ikiwa hana pesa. Maneno mazuri yanatosha. Ambaye yuko na pesa na ndugu zake ni wahitaji basi awaunge kwa pesa.

Swali: Vipi kuhusiana na kutumiana nyujumbe na kuandikiana?

Jibu: Kutumia nyujumbe na kuandikiana ni katika kuunga kizazi ikiwa ndugu hao hawastahiki kususwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21711/ما-الامور-التي-تتحقق-بها-صلة-الرحم
  • Imechapishwa: 24/09/2022