Namna hii ndio utawahukumu al-Ikhwaan al-Muslimuun


Swali: al-Ikhwaan al-Muslimuun ni fikira. Katika wao kuna Ashaa´irah, wengine ni Salafiyyuun na wengine ni kitu kingine. Kwa ajili hiyo ni lazima mtu awe na uadilifu katika kuwahukumu.

Jibu: Mfumo wao uko wazi. Uangalie mfumo wao na achana na migawanyiko. Uangalie mfumo wao na uwahukumu kupitia mfumo wao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu'
  • Imechapishwa: 05/09/2020