Mzushi ni nani?


Swali: Mzushi ni nani? Inajuzu kumtuhumu uzushi kila mtu kwa sababu imekuwa ni jambo la kawaida?

Jibu: Mzushi ni yule mwenye kuzusha Bid´ah au akafanya Bid´ah japokuwa si yeye aliyezusha. Huyu ndiye mzushi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2017