Mzushi lakini ana bidii za ´ibaadah – je, ni walii wa Allaah?

Swali: Kunaweza kupatikana Suufiy ambaye ni mzushi lakini hata hivyo ni mwenye bidii ya kusoma Qur-aan. Je, huyu ni katika mawalii wa shaytwaan?

Jibu: Kama tulivyosema uwalii unatofautiana. Anaweza kuwa na sehemu katika mapenzi ya Allaah na sehemu katika mapenzi ya shaytwaan. Amekusanya haya na haya. Uwalii unatofautiana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (12) http://alfawzan.af.org.sa/node/2055
  • Imechapishwa: 16/03/2017