Ahmad aliulizwa kama inafaa kwa mwanamke mzima kutufu katika Nyumba akiwa juu ya ngamia. Akajibu:
“Hapana. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakutufu kwa njia hiyo isipokuwa ilikuwa ili watu waweze kumuona.”
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Abiy Harb al-Jarjaara’iy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 33
- Imechapishwa: 14/03/2021