Mzee kumwingilia mke hawezi na talaka hataki kutoa

Swali: Kuna mzee mmoja alimuoa mwanamke. Baada ya ndoa mwanamke akadhihirikiwa kwamba mume wake hawezi kumjamii kwa sababu ya uzee wake na matokeo yake akamuomba talaka. Mzee yule akakataa na akamwambia amrudishie pesa yake ya mahari. Kwao na mke hawana uwezo huo. Wafanye nini?

Jibu: Warejee mahakamani. Huu ni ugomvi ambao unatakiwa kupelekwa mahakamani.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 04/01/2019