Swali: Baba akitaka mjukuu wake aitwe jina lake ambapo mtoto akakatakaa – je, kitendo hicho kinazingatiwa ni kuwaasi wazazi?

Jibu: Anapaswa kukubali ikiwa ni jina zuri.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (12) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=audioinfo&audioid=191546
  • Imechapishwa: 01/09/2019