Mwenye kukaa au kuwasikiliza Ahl-ul-Bid´ah anaathirika nao

Swali: Nini maana ya msemo huu:

“Mwenye kukaa na Ahl-ul-Bid´ah wal-Ahwaa´ ana shari zaidi kwetu kuliko Ahl-ul-Bid´ah”?

Jibu: Mmeshasikia hili. Lakini kukaa na Ahl-ul-Bid´ah haijuzu. Mtu anaathirika nao. Mtu anatakiwa kujitenga mbali na Ahl-ul-Bid´ah na wazushi ili asije kuathirika kwayo na akawa miongoni mwa wazushi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17206
  • Imechapishwa: 01/01/2018