Mwenye hedhi kusoma Adhkaar za asubuhi na jioni

Swali: Je, inafaa kwa mwenye hedhi kusoma Adhkaar za asubuhi na jioni na Adhkaar za kulala na zile Aayah na Suurah zinazopatikana ndani yake?

Jibu: Ndio. Asisome Aayah hizo kwa nia na njia ya kisomo, bali kwa njia na nia ya Adhkaar tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017