Mwenye hedhi kumuosha maiti


Swali 385: Inafaa kwa mwanamke mwenye hedhi kumuosha maiti na kumkafini?

Jibu: Inajuzu kwa mwanamke mwenye hedhi kumuosha na kumkafini mwanamke. Inafaa pia kumuosha mwanaume ambaye ni mume wake pekee. Hedhi haizingatiwi kuwa ni kizuizi kumuosha maiti.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 153
  • Imechapishwa: 21/09/2019