Mwenye hedhi kugusa msahafu akiwa nyuma ya kizuizi

Swali 140: Ni ipi hukumu ya mwanamka mwenye hedhi kugusa msahafu akiwa amevaa vifuniko vya mikono?

Jibu: Inafaa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdur-Razzaaq al-´Afiyfiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 59
  • Imechapishwa: 31/08/2019