Swali: Je, ni kweli maimamu wakiwa watatu basi wanapaswa kumuweka katikati yao yule mkubwa wa0?

Jibu: Hili halikupokelewa. Bali kilichopokelewa kwa nisba ya imamu:

1 – Atangulizwe mbele yule ambaye ni msomaji zaidi wa Kitabu cha Allaah.

2 – Mtambuzi wao zaidi wa Sunnah.

Walioko nyuma yake wanatakiwa wawe wale wakomavu na wenye akili ili wamfungulie pale atakaposahau.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 143
  • Imechapishwa: 02/07/2022