Mwenye asiyeweza kuoga


Swali: Kuna mtu ana janaba na hawezi kuoga kutokana na udhuru, lakini anaweza kutawadha na anataka kuswali. Je, afanye Tayammum au atawadhe?

Jibu: Atawadhe na atayamamu badala ya kuoga. Atawadhe kutokana na hadathi ndogo na afanye Tayammum kutokana na janaba. Mcheni Allaah vile muwezavyo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (61) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13585
  • Imechapishwa: 16/11/2014