Mwanzoni mwa wudhuu´ ametokwa na upepo

Swali: Nikiwa natawadha kisha mwanzoni mwa kutawadha tu nikatokwa na upepo. Je, nirudi kutawadha upya au hapana?

Jibu: Ndio, rudi kutawadha tena. Kwa sababu miongoni mwa sharti za wudhuu´ ni kukata yale mambo yanayowajibisha kutawadha. Pindi ulipotokwa na upepo wudhuu´ wako ukabatilika

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 15/12/2018


Takwimu
  • 320
  • 373
  • 1,819,088