Mwanzoni mwa msiba amekasirika kisha baadaye akasubiri


Swali: Mwenye kukasirika mwanzoni mwa msiba kisha akafanya subira – je, analipwa kwa hilo?

Jibu: Ndio, analipwa kwa subira yake na anaweza kuadhibiwa kwa kukasirika kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (80) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-17-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2018