Swali: Ipi hukumu ya mwanamke kutahiriwa katika Uislamu?

Jibu: Ni Sunnah ya kimaumbile. Na miongoni mwayo akatata kutahiriwa. Na hili ni kwa wote wawili mwanaume na mwanamke.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=1463
  • Imechapishwa: 18/02/2018