Mwanaume kuvaa soksi katika swalah

Swali: Je, inajuzu kwa mwanaume kuvaa soksi katika swalah?

Jibu: Kizuizi kiko wapi? Hakuna neno kwa hilo na khaswa ikiwa mtu anahitajia hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (66) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13844
  • Imechapishwa: 16/11/2014