Mwanaume kuvaa nguo inayovuka kongo za miguu ni dhambi kubwa?

Swali: Je, uvutaji sigara, unyoaji ndevu na kuvaa nguo inayovuka kongo mbili za miguu yanaingia katika madhambi makubwa?

Jibu: Kuvaa nguo inayovuka kongo mbili ni dhambi kubwa. Kwa sababu Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametishia hilo kwa Moto:

“Mwenye kuiburuta nguo yake kwa kiburi Allaah hatomtazama.”

Kuhusu kuvuta sigara na kunyoa ndevu ni maasi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
  • Imechapishwa: 03/01/2018