Mwanaume kutia wanja ni Sunnah


wazSwali: Ipi hukumu ya kutia wanja? Na je, imethibiti kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba alikuwa anaweka wanja machoni mwake?

Jibu: Kutia wanja ni Sunnah. Na imethibiti ya kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anatia wanja machoni mwake. Ni Sunnah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Nuur ´alaad-Darb
  • Imechapishwa: 17/03/2018