Mwanaume kulainisha ndevu zake kwa kuzitia mafuta

Swali: Ni ipi hukumu kwa mtu mwenye kulainisha ndevu zake pasi na kudumisha hilo au kuziweka mafuta…

Jibu: Haifai kuzitilia umuhimu mkubwa kuzihudumia kwa mafuta. Ni jambo linalainisha ndevu na ni mambo ya kike. Asipitilize katika jambo hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%2025%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017