Ahmad aliulizwa juu ya mwanamke yatima kumpa mtu pesa ahiji kwa niaba yake. Akauliza:
“Kwani amekata tamaa?” Kukasemwa: “Ndio.” Ndipo akasema: “Amlipie mtu mwengine ambaye atahiji kwa niaba yake wakati bado yuko hai.”
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Abiy Harb al-Jarjaara’iy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 27
- Imechapishwa: 14/03/2021