Mwanamke mwenye hedhi anasikiliza darsa msikitini

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke mwenye hedhi kuingia msikitini kwa ajili ya darsa ya kielimu?

Jibu: Hapana. Leo anaweza kusikiliza kupitia kipaza sauti. Anaweza kusikiliza na yeye amekaa nyumbani kwake au kwenye nyumba ya mtu mwengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 21/05/2019