Mwanamke mwenye eda kutumia sabuni yenye harufu

Swali: Mwanamke mwenye kukaa eda akatazwe kutumia sabuni yenye kunukia?

Jibu: Ikiwa harufu hiyo itabaki akatazwe. Ama ikiwa itaondoka na maji na hatabakiwa na harufu, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (53) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-06-12.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014