Mwanamke mwenye eda kutoka kwa haja isiyoweza kutatua mwingine zaidi yake

Swali: Mwanamke mwenye kukaa eda anaweza kutoka ikiwa ana wadhifa au mwanafunzi?

Jibu: Anaweza kutoka mchana kwa ajili ya haja. Ikiwa ni mwenye kuhitajia kutoka na haja yake haiwezi kutatuliwa mpaka kwa kutoka, basi anaweza kutoka mchana kwa kiasi cha haja.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (53) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-06-12.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014