Mwanamke mfiliwa anataka kwenda harusini wakati wa eda


Swali: Inafaa kwa mwanamke kwenda harusini wakati wa eda ya kufiliwa?

Jibu: Hapana. Asitoke isipokuwa kwa ajili ya haja. Kama anahitajia kutoka na hakuna yeyote ambaye anaweza kumsaidia kumtatulia haja yake, basi anaweza kufanya hivo. Hata hivyo atoke wakati wa mchana kwa sababu ya haja yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 10/06/2019