Swali: Je, inafaa kazi ya mwanamke ya kuwafundisha wanamme, wanawake, wavulana na wasichana katika masomo mchanganyiko ya wanafunzi wa kike na wa kiume?

Jibu: Hapana. Kitendo hicho kinasababisha fitina. Lakini hakuna neno ikiwa anawafunza wanafunzi wa kike na wavulana chini ya miaka saba. Hata hivyo haijuzu ikiwa anafunza masomo ya wanamme watuwazima au masomo ya mchanganyiko kati ya wanamme na wanawake. Kitendo hicho ndani yake kuna fitina na maovu. Tunamuomba Allaah usalama.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Jaamiy´-il-Kabiyr https://binbaz.org.sa/fatwas/2654/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%AA%D8%AF%D8%B1%D9%8A%D8%B3-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B1%D8%A7%D8%A9-%D9%81%D9%8A-%D9%85%D8%AF%D8%B1%D8%B3%D8%A9-%D9%85%D8%AE%D8%AA%D9%84%D8%B7%D8%A9
  • Imechapishwa: 30/05/2020