Mwanamke kuvaa suruwali mbele ya mume wake na wanawake wengine


Swali: Ipi hukumu ya mwanamke kuvaa suruwali nyumbani kwake na mume wake au mbele ya wanawake wenzake?

Jibu: Ni kujifananisha na maadui wa Uislamu. Suruwali ni kujifananisha na maadui wa Uislamu. Na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anasema:

“Yule mwenye kujifananisha na watu, basi yeye ni katika wao.”

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://olamayemen.net/Default_ar.aspx?id=6024
  • Imechapishwa: 20/02/2018